Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Takribani watu elfu moja waliojeruhiwa katika ghasia za hivi karibuni nchini Iran walitembelea haram tukufu ya Imam Reza (a.s) na kukutana na uongozi wa Astan Quds Razavi pamoja na mahujaji. Ziara hiyo ilifanyika katika hali ya kiroho, ambapo waliojeruhiwa walipata fursa ya kusalimiana na mahujaji na kushiriki katika dua na ibada katika haram ya Imam Reza (a.s).

24 Januari 2026 - 21:45

Your Comment

You are replying to: .
captcha